Ukweli ni kwamba kwa WENGINE wewe ndiye MJANJA wa NANILII!
>> Saturday, September 03, 2011
Lakini LABDA,...
....kama wewe katika yako ndiye ufikiriaye na KUJISTUKIA MWENYEWE kuwa WEWE ni MJANJA kuliko wote,...
....... labda kuna kitu hujachunguza vizuri,...
... kwa kuwa yasemekana katika ya MJANJA ukichunguza vizuri kuna mwingine MJANJA,..
... na MJANJA sana hustukiwa na WENGINE na mara nyingi sio yule ajistukiaye MWENYEWE.:-(Swali:
- SI unajua lakini kuwa labda kwa lako wewe, bado WEWE ndiye MJANJA kuliko wote?
- Na siunakumbuka mara nyingi asifiwaye hata kwa MAMEDALI ya dhahabu ya OLIMPIKI kwa KUKIMBIA kuwa ndio mwenye MBIO zaidi kuliko wote inawezekana ni kwa kuwa wenye MBIO hawako katika MASHINDANO ya MBIO au labda hawajawahi HATA kufikiria kuwa kuna kitu KUKIMBIA kama swala muhimu la mtu KUFANYA nakupata sifa na MAAKULI?
- SI umewahi kusikia MPAKA kuna wasifiwao kama wanamuziki bora DUNIANI wakati DUNIANI hajachekiwa kila mwanamuziki kucheki uwezo wao?
Ndio,...
... kuna pia wenye SIFA hata za mapishi na ni MAARUFU,...
..... wakati wapishi BOMBA ZAIDI wapo na HAWAJAWAHI kuwa maarufu kwa kuwa kwao ni kitu ya KAWAIDA kujipikia!
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
JUMAMOSI njema MHESHIMIWA!:-(
Hebu Dennis Bovell na The dub band warudie - Pow wow
Screamin Jay Hawkins aiweke NDUDE kama ilivyo katika - I Put A Spell On You
Au tu NINA SIMONE alainishe wimbo wa Screamin Jay Hawkins ,...
Kabla tu huyu huyu Nina SIMONE hajapitiliza kwa - Just Like A Woman
3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Mmmmmhhh!:-(
Wakati mwingine (sio mara zote nyingi) huwa najikuta nimeyatumia machapisho (maneno) yako ya blogini hapa ktk kipindi radioni pasipo ridhaa yako, leo nafsi imenisuta na nimejiweka bayana.
@Da Yasinta: Mmmmmmh!
@Rasta Mcharia: Tuko Pamoja na ukitekenywa na kitu hapa kijiweni ruksa kukiabwuzi!
Post a Comment