Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

TANZANIA kisiasa 2+2=0 ni JIBU linalo KUBALIKA kiruhusa KIKUCHOMOA ,...

>> Friday, May 20, 2011

....ingawa UKWELI ni kwamba hata ukiwa ni MWANASIASA au sio MWANASIASA ,...
.....2+2  jibu sahihi ni 4. ..
...na hata kama jibu hilo  HALIJACHOMEKWA eneo nanihino:-(

Swali:
  • Si umestukia hilo?


Ndio,...
....KISIASA labda mpaka,...
......hotuba nzuri inaweza kuwa sawa na KUDANGANYA kiufundi vizuri TU,...
.... na kuongea UKWELI ikamaanisha ,....
.... HUPATI KURA wewe MSHAMBA  na lione vile meno kama NGIRI na hebu kapige MSWAKI kwa kuwa unanuka MDOMO  aka acha longolongo kwani unashilingi ngapi  kwa kuwa wenzio tuna njaa na wewe unaongea hadithi za BULICHEKA tu wakati wengine wanatushibisha UBWABWA angalau mara moja moja!:-(


NI wazo tu hili MHESHIMIWA na wala usibanwe chupi MHESHIMIWA!:-(






Hebu moja kwa moja twende New Orleans kukutana na Trombone Shorty MWANAMZIKI NIMUHESHIMUYE ambaye kisura huwa namfananisha na MWANAFALSAFA wa BONGO FLEVA BONGO/Tanzania ili tujue staili yake kidogo....





Trombone Shorty anyuke tena - Something Beautiful





 Trombone Shorty adinye tu na - Where Y'At




Au sijui kwanini labda ngojea tu Trombone SHORTY a Make it FUNKY katika -On Your Way Down

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP