Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama UNACHEZEA nanihino,...

>> Sunday, October 02, 2011

...... basi  LABDA kuna kizidicho kwenye YAKO katika hilo kisiriasi,...
....na LABDA ndio maana NDUDE HIYO uichezeayo ,...
....imegeuka MCHEZO!:-(
Swali:
  • Si unajua KICHEZEWACHO  chochote kile  labda kimetengenezwa au chahitajiwa katika isiyo MICHEZO?

Ndio,...
... kama  unachezea KIMAISHA  hata mboo au kipenyo KIKIPENGELE ,...
.... labda huna haja sana ya MIMBA au KUMTUNGISHA MJUSI MIMBA hata kama  HATA KIHIVYO hiyo  kimuonekano MUHIMU ni MDOLI kimdoli!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!



Hebu urudi MADAGASCAR ili Rasoa aweke  ustaarabu tena kwa - Tramaraindry



Maikoro Manan DAza adinye -AMBONY AMBANY




Huyuhuyu MAMADA atekenye -Toujours Choc



Au tu turudi BONGO ili Tanzanight wapindishe kwa-KAFARA




Orijino ComedI kivideo warimiksi ile  Mbagala ki - KAFARA



Sasa tufanyeje?
Hebu DIAMOND mwenyewe ahamishe kwa-Kamwambie



Bado,...
...nipo aisee!:-(
















1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:11 am  

UMEMECHISHA ...amina!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP