Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika majaribio ya KUCHUNGA wengine WANAVYOFIKIRIA,...

>> Tuesday, October 04, 2011

... kuna WATISHAO mtu!

Swali:
  • Si unakumbuka LAANA kwaasilimia kubwa ni  VITISHO vya ajaribuye KUCHUNGA  mtu hata KIFIKIRA kama tu woga wa KUKUFURU utishiavyo watu?

TATIZO TU ni kwamba,...
.... hata MTU atishweje,...
.... afikiriacho ni vigumu KUKIKONTROO hata kama JAMII  ya VITISHO hugeuza MENGI yafikiriwayo  kugeuka SIRI.:-(
Swali:
  • SI mengi UFIKIRIAYo labda moja ya sababu ni SIRI  ni kwa kuwa unaogopa kitu hata kama hicho kitu ni KUDHALILIKA machoni mwa jamii iliyojaa WANAFIKI?

Ndio,...
.... na kwa kuwa wengi WANACHUNGIKA kwa vitisho katika jamii yetu,....
.... ndio maana labda wenye MAJIBU ya MATATIZO yetu wako KIMYA hasa kama KIJIBU  suluhisho lapingana na JAMII iruhusuvyo KUFIKIRIA hadharani kitu kifanyacho hata ambako kuna PANYA  tujuao CHINA wanalika tu au KONOKONO ambao UFARANSA ni bonge la maakuli   kuna wafao na njaa kisa  hayo MAAKULI   hata kuyafikiria KIMAAKULI  ni mwiko katika fulanifulani JAMII!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA !

Hebu tu turudi Angola ili Yuri da Cunha arudie kibao - Kuma Kwa kié



Yuri da Cunha aongezeedozi kwa - Homem é bom



Au tu PATRICIA FARIA aingilie kati kwa - FOFOCA JOAQUINA



Nicol Ananaz aingizie - Bomba



Halafu  tumalize tu mkuno hapahapa Luanda Angola kwa Dj Sottão katika ndude- Moço Direito


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP