Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KIMISHENI TAUNI kuna WAJANJA huishi MJINI!

>> Tuesday, October 04, 2011

Tatizo,...
.... yasemekana KIMISHENI TAUNI ,...
.... mafanikio yake ni ya MUDA hasa kwa kuwa MISHENI tauni hazina MISINGI YA UHAKIKA ijengayo alivyofanikiwa jana kuingiza watu MJINI ataendelea kwa staili hiyohiyo ya kuingiza mjini washamba kwa kuwa hata mshamba aliingizwa mjini hakawii kustuka kitu kiuacho ofisi MJINI.:-(

Swali:
  • Na sinasikia kuna wadaio mpaka serikali ya Tanzania moja ya kiikwamishacho ni kufanya kazi KIMISHENI TOWN ambapo wajanja hula kimisheni tauni /KIJANJA?


MISHENI tauni KIBOKO katika kufanikishia wajanja yale ya CHAPUCHAPU,...
.... lakini  labda  kwa kuwa CHAPUCHAPU labda sio TUISHIVYO,...
.... mjanja anaweza akajikuta KIMISHENI TAUNI kakwama baada ya muda!:-(

Ni wazo tu hili MKUU!




Hebu ghafla tena  Dj Sottão aturudishe tena ANGOLA na kuanzisha upya kwa pini- Sentir Moça




Noite e Dia waingilie kati kwa - Bondenda


Au tu Noite e Dia waongezee tu dozi ..(Sasa tutafanyaje?) ..kwa -Tá maluca




NIMEACHA!:-(

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP