Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

CCM moja CHADEMA na vimburukutu vingine BILA!-YA IGUNGA

>> Monday, October 03, 2011

Tetesi ni kwamba mpaka saa hizi CCM imeshinda MCHEZO  Igunga !


HONGERA zenu CCM! 
Hongera Dr. Kafumu!


Hongera na wote wengine wa VYAMA VYOTE VINGINE  mlioSHIRIKI katika KINYANG'ANYIRO!
Habari itaendelea kiaina  KESHO,...
... data zote zikiwa uchi!!


UPDATE:

CCM KURA 26,484 sawa na 47%

CHADEMA 23,260 sawa na 41%

CUF 2,104 sawa na 4%

AFP 282 sawa na 0.5%

CHAUSTA 182 sawa na 0.3%

SAU 83 sawa na 0.1%

DP 76 sawa na 0.1%

UPDP 63 sawa na 0.0%

Waliojiandikisha ni 171019

 Kura kwa ujumla  56072 sawa na asilimia 33%


Matokeo katika kila kata:

Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284
Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079 CHADEMA 590
Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
Igurubi CCM 925 CHADEMA 592
Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426
Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
Ngulu CCM 622 CHADEMA 412
Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
Choma CCM 1227 CHADEMA 918
Kining. CCM 700 CHADEMA 451
Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484
Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
Itunduru CCM 738 CHADEMA 784
Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421
Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427
Bukoko CCM 1136 Chadema 931
Nyandekwa CCM 691 Chadema 631
Ndembezi CCM 866 Chadema 806
Chabutwa CCM 545 Chadema 581
Ziba CCM 1053 Chadema 860
Igoweko CCM 1051 Chadema 880
Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593

Source:  
Tume ya TAIFA ya UCHAGUZI.

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

sam mbogo 1:27 am  

CCM Oyeeeee wekelea kanyauu!! Igunga moto !!.jamani huu ni ushabiki tu yeyote katika vyama hivi akishinda mi na mpa kubwa tuu. kaka s

Simon Kitururu 1:30 am  

@Kaka S: Unajua nimesikia leo kabla ya uchaguzi huu asilimia 90 ya WATZ walikuwa hawajui IGUNGA ni WAPI ingawa MBUNGE wao aliyejivua gamba na kusababisha uchaguzi huu wamemsikia JINA!:-(

sam mbogo 11:55 am  

Yawezekana,maana Tabora kama tabora ni jina ndilo lijulikanalo,lakini siyo badhi ya maeneo ,kama usemavyo-Igunga.pia ukisema Tabora juwa waongele kabila la Wanyamwezi hivyo kwa asilimia 90 kutoijuwa Igunga ikowapi inawezekana,mkoa umelala sana wakati kihistoria mkoa ule una mchango mkubwa sana hasa katika elimu,nk. poa kwa kunishitua kwa hili. kaka S.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP