Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ambayo ni kama utani kwa asiye mwenye uanamke wa hata JIKE la MJUSI,...

>> Monday, October 10, 2011

... ila ikiingia kwenye  kipengele kihusishacho  YA HASI ya yalioingilia kwenye mpaka  UKE wa MJUSI ambayo yanamhusu huyo MJUSI JIKE au waathirikao na  yamtokeayo MJUSI JIKE hata kwa aathirikavyo na kilichoingilia kwenye wake UKE,...
...unaweza kugundua  chenye kuoanisha UKE  na MWENYEUKE labda kinamchezo wakuathiri mpaka wasio na UKE  hata kama hapa hatuwaoanishi na MJUSI dume!:-(

Swali:
  • Si unakumbuka kutonielewa RUKSA?
Na katika yadhaniwayo ni UTANI hata  kwenye UUME,...
.... yanaweza kuwa yanakata makende hata ya MWANAUME kujisikia ni MWANAUME,...
... kitu kiwezacho kuwa ndicho kiathiricho wengi wenye kuhusiana na huyo KIDUME hata kama mahusiano naye hayana uhusiano na UUME au tu UKE wa waathirikao na AATHIRIKAVYO kidume,...
... na labda sio UTANI HUU katika hili aisee!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na  ni ruksa kulitemea koozi. :-(

Hebu Issa BAGAYOGO aingilie kati na kurudisha-DIARABI



Halafu hebu tu Erykah BADU arudishe TENA heshima hapa kijiweni kwa kudunga tena pambio-Annie don't wear no PANTIES

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:59 am  

Duh! wewe nakuamini kwa kweli!!

Simon Kitururu 1:05 am  

@Mtoto Mzuri Yasinta: DUH!

Yasinta Ngonyani 1:09 am  

Vipi nimekosea kitu? Mbona ume-DUH!

Simon Kitururu 1:12 am  

@Kapulya: Hapana hujakosea kitu KIGOLI! DUH katika kipenyo kwenye mduara huu ilikuwa tu ni staili yakusema nimekusoma katika mkokotooo!

Yasinta Ngonyani 1:19 am  

ok..Ahsante kwa ufafanuzi ...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP