Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

HARUFU nzuri ya MPENZI labda SI ile tu ya PAFYUMU ya kikojoleo kizuri cha MWANABIBI aisee!

>> Sunday, October 09, 2011

Na kama unampenda mpenzi kwa ANUKIAVYO,...
.... kumbuka HUYO  MPENZI  anajamba tu ki-SIO PAFYUMU  PIA  na  LABDA pia  kwa hilo ananuka kikwapa  TU kama KAWA tu kijeba MWANABIBI  baada ya kujiswafi,...
... kitu kifanyacho,....
.... kama moja ya misingi ya umpendavyo MPENZI ni jinsi anukiavyo,...
...LABDA aisee jichunguze kuwa upendacho ni MANUKATO au ni huyo MPENZI ambaye UPENZI WAKE KWAKO NI KWAKUWA TU UNAMUITA MPENZI  ambaye asipojiosha kidude wote twajua atanuka hata kama baada ya kujinyunyuzia manukato hanukii kwa kila pua  ya mtu  kisio KIMAVIMAVI ,...
.....ni MPENZI wako hata kikushikana tu mikono mbele za watu KATIKA JAMII UIOGOPAYO kwakuwa ina BABA na MAMA na WASENGE FULANI ambao hata HAWAKUHUSU ,...
...waaminio nyie ni WAPENZI .:-(

Swali:
  • Si unajua kuna wapendao ANDAZI  ambao wafikiriacho ni kuwa wampendaye NI  yule tu katika MAPENZI YA MAANDAZI ni   mwenye ANDAZI ?

Ndio,...
... ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(



Hebu RAY CHARLES ajaribu kubadili kwa-A song for U



Halafu Whitney Houston arudie ndude hiihii -A song for U



Whitney ajaribu tena -I will always love U



....halafu tu BOB Marley aingilie kati  tena  nakubadilisha kipengele kwa -Concrete Jungle





Halafu tu huyuhuyu KIJEBA  Bob Marley azime tu MSHAWASHA  kwa -HEATHEN



5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

sam mbogo 5:57 pm  

Haya kazikwelikweli,kipengere cha harufu.mkaguzi mkuu ni pua kujuwa,hii ni haru ya kikwapa,hii ni harufu ya K,hii ni harufu ya mdomo,hii niharufu ya soksi na hii nharufu yamtu kajamba a.k.a ushuzi, mwisho kimba. upande mwingine wa shiringi kuna harufu ya pafyumu.kwa kweli kupenda ni ujasili ikiwa mambo ya harufu hayakwepeki kama orodha hapo juu inavyo sema.mtakatifu kipendacho roho hula nyama mbichi. kaka S.

Simon Kitururu 6:03 pm  

@Kaka S: Katika kula nyama mbichi si labda kwa apendaye nyama mbichi kula nyama MBICHI ni kicheni pati?!...

...kitu ambacho aafikiriwaye anataka kukwepa waka anapenda harufu ya ushuzi ,...
... kumkwepesha starehe ya kujambiwa hata puani hilo ni swala jingine kabisa ambalo wastaarabu hawalistukii?

Yasinta Ngonyani 6:54 pm  

Kaaazi kwelikweli!

Mija Shija Sayi 12:14 am  

Bonge ya wazo..

Simon Kitururu 12:47 am  

@Kapulya na DaMIJA : Mmmmh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP