Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Bendi ya akina mama, WOMEN Jazz BAND 1966

>> Monday, October 10, 2011

Kijakazi Mbegu kwenye solo gitaa



Je unajua kuwa 1966 kulikuwa na bendi ya akina mama watupu hapa Tanzania?
Angalia picha zao wakiwa kazini kwa,.....

.......kubonyeza HAPA
--


Nimepigiwa krosi hii na:
John Kitime.

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mija Shija Sayi 8:49 am  

Eebwanaeee!..kwa kweli hii ilikuwa safi sana, ila sijui kama tunaweza kuzisikia tena santuri zao..

Simon Kitururu 9:09 am  

@DaMija: Unaweza kukuta zipo tu sehemu zinamavumbi kwa Bibi wa jamaa ambaye KIBONGO FLEVA haoni umuhimu wake.

Mija Shija Sayi 6:57 pm  

Ni kweli Kitururu..

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP