Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

JICHONI MWAKO unajionaje?

>> Wednesday, October 12, 2011

 SIKIONI mwako ,...
..... unajisikiaje?


Katika moyo wako KIHISIA zako,...
.....unajihisije?



Na kwa kuwa  hapa DUNIANI kuna WENGINE,....


JICHONI mwa WENGINE,...
...unafikiri ukoje?

SIKIONI  mwa WENGINE ,...
....unafikiri unasikikaje?


Katika HISIA  za WENGINE ,....
... unafikiri WANAKUHISIJE?

 Na hata tukiruka  vipengele mpaka  vya kipua zako AU ZILE ZA WENGINE unafikiri unanukiaje kwa kawaida,...
..... SI KIBINADAMU inawezekana KILA MTU kuna mtu ambaye anapandishwa ainafulani tofauti ya HISIA  ambayo inawezekana KIBINADAMU kitu ambacho ,...
... APENDWAYE  kuna AMCHUKIAYE,...
... ANUKIAYE VIZURI -kwa MWINGINE hiyo ndiyo harufu MBAYA,...
.... IAMINIKAYE ana sauti TAMU kwa MWINGINE huko ni KUKOROMA,... nk.!?:-(

Naendelea KUWAZA  na USIKONDE!:-(



Hebu JAMES BROWN aanzishe mchezo upya kwa-Papa Don't Take No Mess / My Thang



En Vogue waingilie kati na kudai wafanyacho ni- Giving Him Something He Can Feel



Au tu tena TLC walete madai ya - Creep

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP