Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuna MAMBO ambayo kuna WATU labda wako MBELE YA MUDA,....

>> Wednesday, October 12, 2011


... na katika HAYO iliwaeleweke LABDA yahitaji MUDA na hata kizazi kingine ili YAELEWEKE ili kieleweke.:-(

Swali:
  • SI labda kunauwezekano akina MWALIMU Nyerere na siasa zao za UJAMAA na KUJITEGEMEA , Ukomunisti, mpaka maswala ya nyani kutovaa nguo ni VIDUDE vilivyotokea kabla ya MUDA ambao waelewao WANGEKUEPO?
  • SI labda hata MAMBO ZAKO yasiyoeleweka ni waliopo tu na nyezo zao za kuelewa hazijaenda sambamba kitu kifanyacho kuna ambayo kwako yanaleta maana na kwa wengine ni ushuzi mtupu?



Ndio,...
..... labda kuna MAMBO jibu ni MUDA tu ,...
....... kwa kuwa baada ya MUDA wako watakao kuja kuelewa kitu kifanyacho haki ya nani tena hapa DUNIANI kuna waenziwao baada ya MUDA ingaw labda wakati huo hawapo tena DUNIANI !:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na usikonde!:-(


Hebu Leadbelly arudie-Black Betty




Leadbelly aongezee -Irene Goodnight



Gotan Project waingizie na- Queremos Paz




Halafu Charlie Wilson azime  kwa - There Goes My Baby

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:23 am  

Hii huwa inanishangaza sana ya kumuenzi mtu wakati hayupo tena duniani kwa nini mtu asienziwe wakati yupo duniani?...mmmhhh sijui swali limepinda nahisi kama nimetoka nje ya mada...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP