Kama akili ni NYWELE, si nywele hupukutika?:-(
>> Wednesday, October 12, 2011
Ndio,...
.... labda chunga ya aliyekuwa na akili JANA,...
.... hata kama huyo aliye kuwa na akili jana kwako kijina alikuwa ni Simon Kitururu.:-(
Swali:
- Si wakati mtafiti anachunguza ujinga , mwenye akili jana katika utafuti wa leo anaweza kuonekana hana akili?
- Na si yajulikana hata kwa wasifiwao ya jana kiakili kama Albert Einstein hata juzi ya miaka hiyo hawakuwa wanafaulu kila kitu kitu kifanyacho kuna utakayotafiti kuhusu wao na kustukia UJINGA?
Ndio,...
.... usisahau kuna BUSARA za waliopukutika nywele,...
... hata kama siri ya kupukutika kwao nywele ni UMRI!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu LESEGO aingizie -Africa Viva
Lesego aongezee-Usindile
Au tu ngoja Ini Kamoze azime kwa - Pirate
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Ujumbe umefika mtakatifu...je hii ni sawa ni hii wasemayo kuna mvi za busara ambazo mtu huzipata tangu udogo/utoto na kuna mvi za busara ambazo watu hupata ukubwani/dalili ya uzee?
@Yasinta: wala sijui kiuhakiaka mwayego !:-(
Post a Comment