Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama HUJAUMIZWA na dharau za HILI.... ! Kama hujasikilizishwa UNAFUU na uelewa wa LILE...!

>> Tuesday, October 11, 2011

MAUMIVU ya dharau ni ya KILA MTU ,....
.......na na hapo ni hata kwa kuwa  chochote chaweza kuwa chanzo cha MAUMIVU!
Swali:
  • Si unajua MAISHANI  ujisikiavyo huweza kuathiri USIKILIZIAVYO  mengine?
  • Na kwa  sababu DHARAU hutegemea tafsiri za MTU, si kila MTU  kawahi kufikiri kadharauliwa?
  • Na siunakumbuka hata toto lako mwenyeweulilolizaa MWENYEWE huwezeshwa kukuwezesha  ujisikie KUDHARAULIWA?

Na kama  kwa kuwa CHOCHOTE huweza kuwa ni chanzo cha kumsikilizisha MTU vibaya,...
..... kisaikolojia CHOCHOTE kile huweza kuwa ni chanzo cha UAHUENI ,......
.....kwa kuwa MARA KIBAO  yote hutegemea MTU anajisikiaje kabla ya kuathirika na KITU hata  kama hicho kidude ni DHARAU,....
... kitu kifanyacho kuwa CHOCHOTE KILE huwezakugeuka ndicho FARAJA ya MTU na ndio maana  kuna wafarijikao hata kwa kupata taarifa kuwa KAFA mtu.:-(

Swali:
  • Si kuna wafarijikao hata kwa kusikia VITA imeanza kama wafarikavyo  wasikiapo umeshinda na njaa au sikukuu yako ilikuwa MBAYA na DAGAA hawakutosha?
 Ndio,...
... labda kama una HILI,...
.... yaweza kuwa ndio misingi ya UATHIRIKAVYO na LILE,...
... kitu kiwezachokuwa ndicho kikusaidiacho unatafsirije hata nini ni DHARAU.:-(
Ni wazo tu hili MKUU!:-(


Hebu Jackie Chan na Chriss Tucker wabadili kwa -WAR



 Edwin Starr mwenyewe afankifai katika hilihili pini- War



Halafu  Jerry Butler asoulifai kwa - Only The Strong Survive



Kisha NATALIE COLE azime tena kwa-This will be


.

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP