Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Sio LAZIMA kila kitu kiwe SIRIASI!

>> Tuesday, October 11, 2011

Ndio,...
.... pamoja na kuwa kuchukulia vitu SIRIASI ni moja ya kitu BINADAMu awezacho,...
.... labda yasiyo SIRIASI na wasio SIRIAZI wanaumuhimuwake pia  hapa katika hii DUNIA pia.

Swali:
  • Unabisha?
  • Je unaweza kuafodi kutokuwa SIRIASI?!
Ndio,...
... maisha ni MAFUPI,...
.... na labda si kila kitu lazima kiwe SIRIASI kila wakati ,....
........LAKINIIII!:-(
Ni wazo tu HILI Mheshimiwa !:-(



Au tu Admiral Tibet,Shabba Ranks na Ninja Man walete usiriasi kwa - Serious Time

Shabba Ranks arudi na Debroah Glasgow katika-DON'T TEST ME



Shabba Ranks aongezee- Telephone love


Au tu Maxi Priest aingilie kati kwa - House Call


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:40 pm  

Bonge la wazo na pia nimekuelewa kwa wazo hili la jumanne hii!!Ahsante sana.

Simon Kitururu 8:17 am  

Asante kuelewa Yasinta!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP