Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ukisifiwa na UMPENDAYE hata kiuongo , labda SIFA ZILEZILE ZA WAKWARE kiutamu NI tamu zaidi!

>> Tuesday, October 11, 2011

Ndio,...
.... kuna WATU KWAKO  hata kisifa ziitwazo matusi   WAKIKUTUKANA ,...
......tusi LILELILE hukolea zaidi pilipili kimfurukuto wa MAUMIVU kuliko WENGINE.:-(
Swali:
  • Si labda hata WEWE MWENYEWE umeshastukia si kila akuchekeaye  HUWA unajisikia vizuri  kakuchekea  kistaili ya ujisikiavyo ukichekewa na ujingongaye kwake?
Ndio,...
....  hata kijambo a.k.a USHUZI wa MPENZI  ,...
....kwa MPENZI yasemekana huvumilika kirahisi zaidi!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Nakutakia JUMANNE  KIBONGE  Mkuu!

Hebu Mpume Sikakane aingilie kati kwa - Baba ka Mdudu


Au tu tena Bisso na Bisso wazime na - Bisso na Bisso


1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:58 pm  

NUKUU "Ndio,...

.... hata kijambo a.k.a USHUZI wa MPENZI ,...
....kwa MPENZI yasemekana huvumilika kirahisi zaidi!:-(" mwisho wa kunukuu:- Kaka Simon una hakika kweli?

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP