Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tatizo kubwa la ajali isababishwayo na MLEVI aendeshaye GARI,....

>> Tuesday, October 11, 2011

... waathirikao na AJALI mara nyingi huwa ni pamoja na WALE ambao hawajalewa ,...
... na hapo ni kama tutaruka kipengele kuwa hao  WAUMIZWAO na MLEVI wala hawakuwa kwenye gari liendeshwalo na MLEVI.

Swali:
  • Si umestukia kuwa labda kikuumizacho chaweza kuwa wala hukuhusika nacho kimtengenezo?
  • Si unakumbuka YAKO yanauhusiano hata usiouona na WENGINE?
Ndio,...
.... labda pamoja na kwamba swala ni lako,.....
.... yaweza kuwa lina MCHEZO wa kuumiza mpaka wasio husikanalo kivyako,...
....kitu kifanyacho kuwa labda kumbuka kuwa na huruma  ya  KITU  kihusucho WENGINE kama unampango  KIVYAKO uwezekanao ambao huwezakunyea kisima ujuacho hutachota maji kwa kuwa wakitumiao  ni wengine,....
... kwa kuwa  WENGINE kwa WENGINE kimengine,...
....ni WEWE mwenyewe HUYO.:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Hebu turudi UGANDA ili Radio &Weasle wanzishe upya kwa - Kuku



Jose Chameleone aendeleze kitu kwa - Vumilia



 Radio & Weasele warudi tena na -Nakutamani



Halafu tu wazime kwa -ZUENA


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP