Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kutoka kwa Mheshimiwa Rais Jomo KENYATTA with Love: Kumamaye zenu!

>> Sunday, October 09, 2011

Ndio,...
... labda ni LUGHA tu,...
... lakini msikilize na ni kweli Mheshimiwa Jomo Kenyatta kama siye tu alikuwa anakatizia denge kwa SENTENSI kama hizo kwenye mpaka HOTUBA ZAKE,...



Swali:
  • Si umestukia ukiondoa kumamaye kuna mengine aongeleayo?


Ni hilo tu  MHESHIMIWA!:-(

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:51 am  

Duh! kaazi kweli kweli lugha hiyo imenishinda!

sam mbogo 2:34 pm  

Unasikia,mtakatifu,ukiisikiliza hotuba ya huyu mzee anyo sema nikweli achana na hiyo kumamaye aliyo sema ndo alivyo kaonyesha hisia zake.hatutapata tena viongozi kama hawa wa mfano wa kenyata.kwani aliweza kuthubutu kusema kile alicho kiamini,swali ikiwa kiongozi huyo wa wakati huo aliweza kuwatukana wale wote alio washitukia wana kwamisha maendeleo sembuza kwa sasa asinge shindwa kukemea hata hawa wakubwa zetu wa magharibi kwa ubabewao wanao uonyesha kwa nchai changa kama afrika na nyingine duniani. jibu asinge shindwa kuwatukana kumamaye marekani kumamaye uingereza,nk. viongozi wetu wasasa hasa afrika hawana ujasiri huo,si nchini kwao hata nje yanchi kama mbwa koko vile? kumamaye zao.kaka S.

Simon Kitururu 3:08 pm  

@Dada Yasinta: Sinauhakika kama naamini kugha dhaifu kama hiyo DADA nguli kama wewe inakushinda!.Mie Yasinta ni mjuaye ni ngangali zaidi ya hilo!:-(

@Kaka S: Tatizo wajifanyao ni wastaarabu huacha kumsikiliza kisa katukana eti!:-(

sam mbogo 3:41 pm  

Hao wanaojiona wastaarabu, hakunakitu ni wanafiki tu.kuliwahi kutokea hotuba moja ya Nyerere, ilikuwa Dodoma. alitumia neno malaya,kitu ambacho wa tu hawakutegemea kutamkwa na mtu kama yule.sema nimesahau kidogo umalaya huo alikuwa anaongelea kitu gani.watu walika kimya baada ya kusikia mkuu ana sema watuhao ni sawa na malaya! sikuzote mkubwa hakombi mboga.kaka S.

Mija Shija Sayi 12:47 am  

Kwa kweli ana haki awatukane maana watu wanakera sana... kweli unauliza nani alime mashamba kwa faida yenu wenyewe?? Wananchi tunahitaji viboko wakati mwingine na ninahakika huyu alikuwa anaweza kuchapa wananchi watukutu...

RIP Jomo.

Simon Kitururu 10:28 am  

@Kaka S +Da'Mija: Nakubali kabisaa mliyosema.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP