Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MAHITAJI ya JEMADARI KIGOLI ya kuongozwa na KIPOFU!

>> Sunday, October 09, 2011

Ndio labda ni MATUSI kufikiria WATUONGOZAO  wanaona kisa wana macho yaonayo,...

.... hasa  ukiwa na USHUHUDA waonao ambao WENGI  ndio waitwao VIONGOZI katika DUNIA hii yetu  mpaka LEO HII watupelekako sie tutakao kwenda SEBULENI  ni kawaida kwa kufuata macho yao hujikuta tunaishia CHOONI!:-(

Swali:
  • Unabisha?
  • Na si umestukia labda hata katika kudaka matamu huhitaji JICHO  wala kuona kitu kifanyacho labda KUONA  kumezidishiwa tu sifa wakati utamu kwa wengi labda kikufaisdi huufungia macho?


Ndio,...
.... labda  tuhitajiye KIUONGOZI  ni KIPOFU,...
...ambaye haangalii sura bali  hisia za nini ni sahihi  kitu ambacho HII miviongozi yetu  kwa kutumia MIJICHO YAO haioni !:-(

Ni wazo tu hili  MHESHIMIWA!:-(
Jumapili njema MKUU!

Hebu ghafla Lokua Kanza aingilie kati kwa- Le Bonheur / Gib Mir Ein Wunder



Au tu EDDY GRANT azime tu  kwa-Hello AFRICA

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mija Shija Sayi 12:15 am  

mmmmhhhh...

Simon Kitururu 12:52 am  

@DaMija: Mmmmmh indeed!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP