Ukinywa MAJI , LABDA jiandae kukojoa!,...
>> Saturday, October 08, 2011
Swali kwa ung'eng'e:
- Sounds simple and straight foward, right?
Ndio,...
... kuna washangazwao na ufikiriayo yako wazi aisee,....
.....na moja ya lililowazi ni kuwa MTU chini ya nguo yuko uchi.
Swali:- Si umestukia kuna washangaao MTU akiwa uchi hata kimawazo wayajuayo yapo?
Ndio,...
.... katika kuwa UCHI ,...
.... labda kishangazacho ZAIDI ni kuwa kuna washangaao!:-(
NI wazo tu hili MHESHIMIWA!
Tubadilishiwe wazo na Joti katika - Jibwa Koko
Halafu Ferre Gola na Heritier Watanabe wabadili tena kwa - Nostalgie
Halafu Pepe Kalle azime tena kibolingo zaidi kwa -Pon moun paka bouger
6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Jumamosi njema kaka mpendwa Simon Kitururu na ahsante kwa wazo la leo!
Jumamosi njema kwako pia mtu wangu! Na samahani wazo limepinda!:-(
Nimepita hapa kukutakia mwisho mwema wa wiki mtu wangu.
@Edna: Wikiendi njema kwako pia mtu wangu!
Hivi ikiwa, ukinywa maji jiandae kwenda haja ndogo. hapana lakini yawezekana nisahihi kukojowa. laikni neno jiaandae,hapo ndiyo penyewe waweza jiandaa na kitu kisitokee,je uki mpiga mtu yawezekana ukajiandaa kupelekwa/kwenda polisi.halafu kunakiwango,je umekuywa maji hayo kiasi gani? umempiga mtu huyo kwakiasi gani.matokeo yakiasi hicho lazima yakutokee haya mawili.ukojowe au upelekwe polisi. safisa mtakatifu,nimekupata vizuri.jumamosi njema wote,Yasinta,Edina na simoni.kaka S.
Asnte Mkuu na Jumamosi Kibonge kwako pia!
Ila hapo ulipogusia kiasi cha maji yanywaywo ...umenenepesha kweli HOJA Mkuu!
Post a Comment