Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Video ya KASHASHA ikiporomoshwa na TANCUT ALMASI ORCHESTRA 1989

>> Friday, October 07, 2011

Kuanzia album ya kwanza ya Tancut Almasi Orchestra , bendi iliendelea kutoa vibao vilivyoweza kudumu katika kumbukumbu za wote waliovizisikia kuanzia enzi hizo.

Album ya kwanza ilikuwa na nyimbo kama vile:

Nimemkaribisha nyoka(Kasaloo Kyanga), 
Kashasha(Kyanga Songa), 
Tutasele (Kasaloo), 
Mtaulage(John Kitime), 
Big Four 
(Utunzi wa wimbo huu ulileta utata kwani ulianza kwa ugomvi kwa Mamado Kanjanika kudai kuwa aliutunga yeye wakati akina Kasaloo na Kyanga wakidai wameutunga wao. Lakini hatimae akina Kasaloo waliacha ugomvi huo na Mamado hutajwa kama mtunzi wa wimbo huu. )

Hebu angalia mambo yalivyokuwa wakati KASHASHA likipigwa.
John Kitime niko hapo na miwani kubwa nikiungurumisha rhythm guitar

-- 




Nimetumiwa na :
John Kitime

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP