... haki ya nani chaweza kuwa kinalemaza UKUBWA WANGU!:-(
Na ulichojifunza UTOTONI,...
... kinaweza kuwa ndicho kinacho CHORA RAMANI ya uzungukayo nayo UKUBWANI katika UFANYAYO, upendayo au hata UAMINIYO yale ya ni njia gani unasadiki kirahisi ndio inapeleka watu kwa MUNGU.:-(
Swali:
AU?
Ndio,...
... labda hata upenzi wako wa UGALI kuliko WALI,....
.... mpaka uchaguzi wako wa MALAYA/changudoa gani utalipia HUDUMA za CHAPUCHAPU kwenye GESTI bubu KAMA IKIBIDI na kama unahisi haitastukiwa na JAMII ijajio WANUNUZI wa HUDUMA za CHAKULA CHA USIKU kwa kuwa wewe ni MHESHIMIWA,...
... vyote ni matunda ya ulivyojifunza tokea UTOTONI!:-(
Ni wazo tu hili MKUU!
Ijumaa na WIKIENDInjema!
PS:
Niko Norrköping -SWEDEN kwa muda NAHANGAIKIA tu MAISHA kwa hiyo kama uko mitaa hii tuwasiliane!
Katika kubadili wazo :
Hebu Offside Trick wakiwa na AT warudie-Mduara uko Uwanjani
Au tu OffSide Trick Ft AT wanun'gunike pia ya kuhusu aliwavyo - Samaki
... kwa kawaida inawekwa na BINADAMU hasa atafsirivyo VITU.
Na mpaka hata wa NCHI waishizo BINADAMU,....
.... kama mipaka ya nini UKIVUKA hata KIFIKIRA unaonekana umevuka MPAKA,....
.... kwa kuwa inawekwa na BINADAMU,....
.... labda kwa BINADAMU hivyo sio vitu vya KUDUMU!:-(
Swali:
SI unaweza kukuta labda asilimia zote za MIPAKA uliyojiwekea MAISHANI hata ile ya kuhofia ukivuka hapo UTAVUNJA maadili ya JAMII labda kikweli ni WEWE mwenyewe UMEJIWEKEA na KUJIPIA hizo N'gwe?
Mipaka ya BINADAMU ,....
.... inapindika BIANDAMU wakitaka,....
.... inaongezeka kama tu WAKIMBIAJI waongezavyo rekodi kila siku ambazo huvunjwa,...
... lakini labda kikubwa labda MIPAKA ni chazo cha kujinyima UHURU,....
.... na ukishakosa UHURU na UKAZOEA kutokuwa HURU unaweza usielewe WAVUNJAO mipaka na kuwa HURU angalau hata kwa kusema wanachowaza bila kuhofia JIRANI na JAMII kwa ujumla itasema nini.
Kama unataka kujua maneno ya wimbo kwa ung'eng'e ni:
Oh, it would be so much better to live in peace Without having to suffer Without having to cry Without having to want Without having to give yourself (2x) But you have to suffer and you have to cry and you have to want To be able to love Oh, deceiving world peace doesn't mean "love" anymore Oh, there is no sadder thing than to have peace and to regret and to submit and to protect yourself of a love, of loving
SI unakumbuka kuwa kama HUKUMBUKI labda WEWE na YULE tofauti zake kwako zinaweza kubumbuluka akilini?
Ndio,...
.....kumbukumbu ni MUHIMU,....
.... ingawa KUSAHAU tusisahau mchango wake ambao unasaidia mpaka waliowa kufiwa na KULIA SANA msibani,...
...kusahau kitu na siku hizi hao ni fulu kuchekacheka kwa kuwa kunakitu kilichowaumiza WAMESAHAU!
Kuna haja ya AFRIKA kukumbuka kwanini NYIMBO hizi katika nchi kadhaa ukitoa maneno ZILIFANANA!
Haya wewe pale simama na sikiliza hili BITI toka ZAMBIA halafu wakati huohuo fananisha na wa BONGO kisaundi!
Endelea kusimama TWENDE Sauzi AFRIKA wakati umesimama na sikio lako linasikiliza BITI la wimbo,....
AU endelea KUSIMAMA tuusikilize tu na wa TANZANIA tena...
Kama hujastukia:
Madhumuni ya BARUA hii ni kuuliza:
SI unajua wimbo wa TANZANIA haukutungwa na MTANZANIA?
Au unafikiri ni MTANZANIA alitunga wimbo huu KI SAUNDI wakati nakuchokoza ujikumbushe jina lake ni nani?
Na si unakumbuka ni KWANINI nchi kadhaa AFRIKA zilitumia BITI moja ingawa maneno tu ndio tofauti wakati AFRIKA tuna UMOJA enzi hizo?
Ndio,...
....inawezekana akina NYERERE, Kaundana WENGINE walioanza kukubaliana MPAKA nyimbo za TAIFA zianze kufananafanana KUTOKANA na UMOJA labda walikuwa ,....
.... na BIG PICTURE kuhusu AFRIKA tuelekee wapi kiasi kwamba usipokuwa MFIKIRIAJI unaweza kusahau HILO siku hizi.:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu tubadili wazo kwa kusikiliza wimbo wa ZIMBABWE ambao nahisi ukiondoa neno ZIMBABWE na kuweka TANZANIA laweza kufiti TAITI TU na kuendeleza MAANA ileile,....
.....na HEBU Henry Olonga mcheza KRIKETI maarufu duniani kutoka ZIMBABWE aimbe huu -OUR ZIMBABWE -na wakati wewe unausikiliza kwenye ZIMBABWE weka TANZANIA uone kama haufiti KIAINA hata kwa wale wadaio Tanzania hatujawahi kuwa na Segregation na kuita WAHINDI magabachori sio ubaguzi wa rangi:
Inawezekana ni WAFIKIRIAO UCHI kwa kuwa MTOTO MZURI hasa WA KIKE kavaa KIMINI cha KIMINI ,...
....hata kama HICHO ni kirefu kidogo kuliko KIBWAYA ambacho ndicho vazi la KIAFRIKA kiutafiti wa wengi maeneo fulani AFRIKA ,....
......ndio wamuonao UCHI KIMWANA HUYO hata kama labda kwa watokeao kwenye MILA ZA KUCHEZA SINDIMBA ambapo WACHEZA SINDIMBA huvaa mavazi asili ya KUCHEZEA sindimba hayuko UCHI HUYO ,...
............................
... Au tu hata tu ki,....
...SISI ambao UCHI sio CHUPI au PAJA kutokana na mila zetu za KIAFRIKA,...
...au hata WALE watu wa TARIME wajuao mila za TARIME kama WAMASAI wanaume ambao kimila CHUPI ni kitu cha kigeni kama kwa WAPARE TU ,...
....labda hayuko huyo MTOTO mzuri UCHI Tanzania kama MTANZANIA anajua mila zake!:-(
Swali:
SI inasemekana ANAYEWAZA UCHI ataona UCHI kama awazaye chakula iwezekanavyo ndiye aunganishye kila VILIKAVYO kwa BINADAMU labda hivyo ni chakula wakati wasio na njaa wanaweza kusukia hivyohivyo MKEKA hata kimawazo kwa kuwa kwao hivyo sio VYAKULA?
SI inasemekana WATU kwa kawaida huona WANAVYOFIKIRIA na ndio MAANA katika barabara SIO KILA MTU huona shilingi iliodondoshwa BARABARANI ingawa kuna uwajuao WAOKOTAO SHILINGI katika BARABARA ileile uliyoipita iliyodondoshwa na walio TANGULIA walio KUPITA ?
Hivi nusu UCHI na UCHI ni kitu kile kile?- kwa kuwa si labda yoyote ALIYEVAA nguo hata kama unaona PAJA lote na kutokea juu mpaka kitovu ila bado UCHI NI UCHI na kama hujaona uchi LABDA hakuna aliye uchi?
Kwani Uchi ni sketi fupi au sehemu za siri ziwezeshazo watu kutengeneza MTOTO wakizigusanisha kimuingiliano?
Ndio,...
... inasemekana wawazao UCHI hata kama ni WAHESHIMIWA,...
... ndio wastukiao kirahisi UCHI kwa kuwa wakati wanastukia UCHI labda walikuwa wanawaza UCHI!:-(
Swali:
Si unajua ni RUKSA kunibishia?
Ingawa NASIKIA wahisio WENGINE kuwa wako UCHI ,...
....ambao ukiwaulizia ramani ya uchi wa wafikiriao HAO walikuwa UCHI wanajua kuwa hata kisilaha za KIZIBO cha kipengele hata kama hiyo SILAHA ni CHUPI hawakuona kitu zaidi ya HISIA ZAO walizotumia kuhisi waliona hata kwenye KIZIBO wakati kuna sketi fupi,...
.....na HUWA WANAJUA WAHESHIMIWA ambao ni walalamikaji sana HAWAKUONA EMBEDODO kwa kuwa wao NAO KATIKA MIILI YAO ni wenye MENGI yatunzwayo kwenye UCHI kuanzia ustaarabu mpaka starehe ndogondogo,....
... kitu ambacho hata kama WENGINE wanaachia mwanzo wa PAJA au tu karibu tu na chini ya kitovu kwenye KIBOXI manyoya,....
...inajulikana nao WAKILALAMIKA mara nyingi bado UKWELI UKO PALE PALE kuwa hawakuona GOLOLI kwenye BELINGI,...
... au kwa lugha ya KISANIFU KIJIWENI ,...
...hao hawakuona kitu hao hata angalau mkenuo wa bonge la NDUDE ,...
...ila KIHESHIMA kwa kuwa WANAHISI KITU na kwa kuwa mara nyingi HADHARANI kuna kufaidika kwa KUSEMA KITU,...
.....lazima ni WAKALI kwa kuwa hata kwenye SKETI wao tayari kwa kujihami WANAFIKIRI kiheshimiwa CHAKUJIFUNZIA UKUBWANI ,....
.....wameona UCHI ukiwadadisi kwa juujuu ingawa kiundani WANAKEMEA kwa kuwa wanahisi wawasikilizao WANAHESHIMU mtindo wa mkemeo wao!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na nimeliacha ,....
....na halikufanyiwa UTAFITI wa kitaaalamu MHESHIMIWA na samahani MHESHIMIWA ambaye paja KIDOGO au hata kuona CHUPI KWA MBALI TU unafikiri CHUPI ni UCHI wakati labdaUCHI ni ule chini ya KIFICHA NYETI/CHUPI!:-(
Na wakati tunabadili HOJA hii nyoko ,....
NDIO....
....nilikutana na Bobby McFerrin katika pitapita mpaka nikajikuta napata kazi zake live siku fulani zilizotuna hivi karibuni .....
.... baadhi za picha za siku migongano ilipotokea ni .....
Kwa waliomsahau Bobby McFerrin hebu adinye-DON'T WORRY be happy!:-(
Bobby McFerrin aongele wakati mie na wengine tuna kifikira - Thinkin' About Your Body
ILA kiletacho MATUMAINI ni kuwa hata kwenye HATUA ya TATU maishani,....
... inaweza kuwa bado MTU hajachelewa KUBADILI anakoelekea!
Swali:
AU?
Ndio,...
.... labda HATUA ya NNE ,...
.... inaweza kuwa ni mwanzo pia wa SAFARI MPYA,....
.....ya mtu kuelekea upande tofauti na ule aliokuwa anaelekea wakati anapiga hatua ya KWANZA!
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Au tu hebu FRANCO amsifie tena Rais MAARUFU sana AFRIKA katika MARAIS tokea kabla wengine AFRIKA hawajastukia utamu wa kuwa FISADI katika ndude-Candidat Na Biso Mobutu
.....si kuna UWEZEKANO imefikia mpaka kuna WENYE busara na HEKIMA wanakaa kimya HADHARANI,...
....na labda ni mpaka UKUTANE NAO pembeni wakati mnaongea wakati WATU wengine hawasikii ndio waweza kujikuta unastukia HEKIMA busara na majibu ya maswala ya maisha yasumbuayo ULIMWENGO jinsi walivyo nayo?
Ndio,...
....kuna jamaa ni mpaka ukutanenao PEMBENI,....
... ambao HADHARANI hukaaga KIMYA kwa kuwa wamefikia KUAMINI hadharani,...
.... ni mahali ambapo MHESHIMIWA asipochagua cha KUONGEA atajiharibia HESHIMA!
Ni wazo tu hili baada ya kukutana na MHESHIMIWA ambaye hukaa kimya HADHARANI hata kama tunaongelea CHIPSI na MISHIKAKI ili asije julikana anahusudu vitu hivyo na UMATI!:-(
Hebu King Yellowman aongee anavyofikiria hadharani kuwa-FOOLS GO TO CHURCH on SUNDAY
Au tu Mister Yellowman aombe tu na kidude kitu ambacho sidhani wengi wanaweza kuomba aombavyo hadharani katika ngoma-Gimme KIDUDE/gimme vagina
Kabla ya kutuliza kitu kwa kustukia- Wrong Girl To Play With
Inadaiwa sana kuwa MAHINDI asili yake ni Mesoamerika au tu America ya KUSINI,....
.... kama tu idaiwavyo kuwa ASILI ya MCHELE ni ASIA kitu kiwezacho kuwa wapenda UBWABWA Tanzania ambao wanajivunia vitu vya kiasili Tanzania bado NGUNA ya unga wa MAHINDI na bonge la tonge wakatalo kwenye MISIBA la UBWABWAZ yote ni msaada wa vitu visivyo na asili yake Tanzania!:-(
Swali:
Ushawahi kuwa unafuatilia asili ya VYAKULA vyako BONGO angalau kujua asili yake ni wapi hata kama hapa tunaongelea MATOKE?
Hivi WAGENI nishai eeh kwa wenyeji kama kunauwezekano BIA kwa wapenda KILAJI hata kama ni SAFARI ze LAGA wanywacho ni zao la wageni?
Ni uchokozi tu huu wa wazo tu HUU MHESHIMIWA na usikonde!
Hebu Franco akumbushie zao jingine la kigeni MAARUFU Tanzania lijulikanalo kama UKIMWI katika -Attention na SIDA
.... ambayo ukitumia AKILI labda usingeamua hivyo!
Na moja ya kitu ambacho kama unatumia AKILI badala ya MOYO labda hujadakwa vizuri,...
... ni mambo yale yahusuyo,..
...NI NANI UNAMPENDA!:-(
Swali:
Au?
Si MOYO ukipenda maamuzi yako yanaweza kumchagua MPENZI ambaye ungetumia AKILI kuchagua labda ungemkwepa kwa kuwa ni AROSTO halafu ana bonge za MWANYA kama mfereji wa MAJI machafu?
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu Ambelique arudie - Penny Lover
AU tu Ambelique aongezee doz i kwa - New Sheriff In Town
......labda utamu wa mara nyingine unatokana ukweli kulikuwa na mara nyingine iliyofundisha mtu utamu wa CHUMVI ni mtamu kama CHUMVI mara ya kwanza.:-(
Swali:
AU?
Na mara NYINGINE kama inafikiriwa ni tamu,...
.... labda huo ni USHAHIDI kuwa MARA NYINGINE ilitanguliwa na MARA NYINGINE nyingine ambayo hata kwa mjanja ilikuwa ndio SHULE:-(
Swali:
AU?
Kama kuna mara ya kwanza hata katika kumpapasa MHESHIMIWA kiheshimiwa,....
.....ilikuwa MPAPASAJI PAJA anaogopa hata kumgusa MHESHIMIWA kwa kuwa mpapasaji ANAHESHIMA,...
.... kumbuka tendo hilo labda BADO linaweza kuwa NDILO lililomrahisishia MPAPASAJI MWENYE AIBU kujisikia huru kirahisi MARA NYINGINE!:-(
Ni wazo tu HILI Mheshimiwa !:-(
Hebu LAGBAJA aingilie kati na kubadili wazo kimtuno kwa -Konko Below
Maishani ambako kuna mpaka vitu vizuri kama KULA wa wapendao chakula ,....
......kunya ambako labda nako ni muhimu katika maisha ya BINADAMU,....
... kwa sababu fulanifulani huwa HAKUHESHIMIWI eti!:-(
Swali:
SI umestukia yafikiriwayo ni MAZURI kwa BINADAMU hasa wajifikiriao ndio wenye tabia nzuri yawezavyo kufanywa kama vile YALE yasiyo mazuri kwa binadamu haohao KIFIKIRA kuonekana ni MABAYA wakati yawezekana hayo mabaya ndio siri ya hao WAHESHIMIWA WATU WAZURI wastukiavyo kitu kizuri?
Ndio ,...
.....MHESHIMIWA labda hadharani usinye,...
.... ingawa labda ni kweli siri ya kwa nini kama UNAHESHIMIWA usinye hadharani inaweza kuwa ni kwa sababu kuna jamaa siku moja ALIKUNYA hadharani aisee!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu Pat Shange abadili mkao kwa -Sweet mama
Yvonne Chaka Chaka atunishe kwa - Thank You Mr DJ
Au tu Yvonne Chaka Chaka aweke tu kigunzi kwenye tobo-I'm in Love with the Dj
Kuna baadhi ya watu wanafanya nijifunze sana vitu kirahisi VITU!
Huyu Mkuu GOODMAN MANYANYA PHIRI ambaye anatoka AFRIKA KUSINI kwa jinsi asapotivyo WATANZANIA na au tu aandikavyo KISWAHILI kitu ambacho kama usingejua ni MSAUZIAFRIKA labda ungefikiria ni MTANZANIA,...
.... mie kuna kitu hata kwa utu wake ananifurahisha nakunifunza!
Inawezekana wakati huo anabakwa moja ya asichokiona NI huko KUBAKWA,...
.... ingawa maumivu YAMVURUGO WA SEHEMU ZA SIRI anasikia!
Na visikilizwavyo labda KWA JICHO hata kisaikolojia vyote huwa havionekani hata kama wakati vinabakwa,...
.....kitu kifanyacho kuna ushahidi wa KWELI kuwa kuna kilichotendeka KWENYE SEHEMU ZA SIRI hata kama kwa JICHO hakikuonekana kikitendeka na kimebakia KISIMULIZI kwa wengine ni TU cha kusikia!
Swali:
Hivi unafikiri ni mangapi ambayo JICHO halioni kwa nyuma kwa kuwa tu MACHO yako kwa mbele ya mtu wakati tukio limuhusulo mtu LAWEZA KUWA liko nyuma yake tu mtu ambako hakuna macho ila kuna bonge la tako?
Ndio,...
.... labda hata kwenye jicho la ambaye habakwi,....
.... labda kunayaliyomtokea ambayo JICHONI wakati sio kipofu hayakuonekana!:-(
Ni wazo tu hiliMHESHIMIWA!:-(
Hebu Saul Williams katika kubadili wazo arudie-Gypsy GIRL
.... ambao uwerevu WAO huwa KIUEREVU WAO kwa kawaida hautafutwi sana CHANZO CHAKE,...
......hata kama ni kweli chanzo cha uerevu wa YOYOTE ufikiriaye ni MWEREVU labda ni UJINGA!:-(
Swali:
Kwani unaamini UPUMBAVU kama tu UJINGA unafundishika ?
Kwani werevu wa WEREVU silabda nikitu walichozailiwa nao tu hao WEREVU kwa kuwa labda kirahisi apatiaye UEREVU labda alikuwa MWEREVU kabla ya kujifunza UEREVU?
Na wakati kuna isemekanavyo kuwa kuna mtu amejifunza kwa KUIGA,....
... labda waigao HUIGA TU VIZURI vile vitu hata kama ni vya KIPUMBAVU kama tayari akilini walielemea tayari ki MRENGO huo wa walichoiga kukujifunza kabla hata HAWAJAIGA!:-(
Swali:
Unabisha?
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
HEBU tu Mr DALE abadili zaidi kwa -Soca Junkie
Kabla tu The soca boys hawajatuliza boli kwa -Follow the leader