Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Jua likiwaka lina MCHEZO wa KUMULIKA kila MTU,.....

>> Tuesday, September 06, 2011

..... na labda ya KILA mtu ,....
...... hayana tofauti sana hasa kwa kuwa mara nyingi ni VIGEZO vya BINADAMU kibinadamu,...
..... ndivyo vitumikavyo katika hata maamuzi ya nani katika BINADAMU ndio mwenye DHAMBI na nani ni MTAKATIFU!


Swali:

  • Si unakumbuka BINADAMU mwenye kasoro ndiye BINGWA wa kunyoshea kidole KASORO za WATU wengine?

Ndio,...
..... BINADAMU KIBOKO,...
....... na ndio maana kirahisi tu BINADAMU MCHAFU anaweza kugeuka JAJI WA USAFI na bila aibu akahukumu BINADAMU wengine kuwa WACHAFU!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!


Hebu Freddie Gwala arudie- Thula Mama




Au tu na Vusi Mahlasela arudie tu naye -Thula Mama




Au tu Vusi Mahlasela aongezee tu dozi kwa -Woza


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP