Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

STAREHE ya KULAZIMISHA mtu KUPANUA nanihii!

>> Monday, September 05, 2011


Ndio,...
..... swala la ``NAHAMU  KWELI ya KULAZIMISHA mtu KITU´´,...
.....ni kitu  kilichogeuka TUSI siku hizi kwa kuwa ALAZIMISHAYE MTU KITU katika JAMBO   kirahisi imeshaaminika kuonekana HUYO ni MTU mbaya!

Swali:
  • Si inasemekana ALAZIMISHWAYE KITU ndiye kirahisi mwenye mchezo wa kuonekana  ANAONEWA na ndiye ahitajiye HURUMA katika hata PANULIWO?
  • Si unajua kuna uwezekano kuna starehe ambazo hata wewe ulistareheka nazo  ambazo LABDA  misingi yake ni LAZIMISHO?

Ndio,...
.... kuna UWEZEKANO lakini kuwa,...
.... si kila ALAZIMISHWAYE NDUDE,...
.... baada ya kulazimishwa NDUDE hasikii TAMU au hakusikia tamu KISTAREHE,....
...... hasa kama kigezo cha waliolazimishwa  moja ya walicholazimishwa ambacho haki ya nani hawakuwa wanakipenda ni SHULE ,...
... hasa kwa kuwa shule hata ya kujifunza  ambacho kwa ANDUNJE ni starehe,...
....yasemekana kuna mchezo kikiitwa ni ``SHULE ´´ labda kwa hata huyo ANDUNJE chaweza kutofikiriwa wakati anajifunza kuwa hicho kidude ni STAREHE!:-(



Ni wazo tu hili MHESHIMIWA !:-(







Hebu turudi ZIMBABWE ili kwa msaada wa CHIWONISO aanzishe vita upya kwa-Rebel WOMAN





CHIWONISO adinye mdinyo zaidi ule  -Wandirasa




CHIWONISO katika nanihii aongezee  vita kwa-Ancient VOICES



Kabla BUSTA RHYMES hajabadili mchezo mzima kwa-What's It Gonna Be





Busta Rhymes adinye tena kwa dalili za kutaka zaidi  nanilii katika -Gimme Some More




Kabla hajamalizia tu kilevi kwa -Pass The Courvoisier




7 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:12 pm  

Si utani ...kaaazi kwelikweli!!!:-(

Simon Kitururu 12:14 pm  

@Da Yasinta: Mmmmh!

Yasinta Ngonyani 12:26 pm  

Nakusifu Simon kwa kipaji ulochonacho au nisema kwa jinsi staili yako ya kuandika ...Sikumbuki ni lini nimecheka lakini nilipoanza tu kusoma hapa kwako nimecheka/tabasamu na kusema kweli watu ni shujaa.:-)

Simon Kitururu 12:28 pm  

@Yasinta: Nashukuru kama umepata ``BATASAMU KIDUCHU´´:-)

Nimestukia ulinipigia simu! Ntakutafuta KISIMU baadaye kidogo!:-(

Yasinta Ngonyani 12:59 pm  

Ok...Simon..kaaazi kwelikweli:-)

sam mbogo 3:26 pm  

Nikweli Da Yasinta,huyu jamaa,mtakatifu,usipokuwa MROMA,nakubakia mtanganyika,waweza kusema hii sasa ndo nini!!?.fasihi ya uandishi wake,imekaa,kunyegeresha nyegeresha(nimoja ya starehe).ni staili yake ,niyeye tu hakuna mwingine.
sikuzingine huwa inatokea zali,starehe inakuwa imeridhiwa,(kukukbaliana) na pande zote mbili,kulazimisha kuna kuwa hakupo, ni swala la timingi,na upande mwingine huwa sitakinataka nyiiingi.hapohapo, kwanini katika kulazimisha,siku ya kwanza kwa dada zetu, hakupi,sijuwi wanasema utaonekana maharage ya mbeya,kuna kaukweli juu ya hii hoja.haya kijana kitururu,wewe hatari sana.
kaka S

Yasinta Ngonyani 6:06 pm  

Mweeeh! na wewe kaka S hauchezi mbali ...:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP