Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama KIDOSHO ana NDOTO ya kupekecha,...

>> Thursday, September 08, 2011

.... labda ina maana KALALA huyo kama KIJEBA tu,...
.... kwa kuwa eti WAPEKECHAO kikweli na hasa KIVITENDO HUKU WAKISIKILIZIA huwa wanamchezo wakutokuwa ndotoni !:-(


Swali:
  • SI inasemekana  waotao labda ni wale walio USINGIZINI?

Ndio,...
.... kuna wenye NDOTO maishani ,...
.... kitu kidaiwacho kuwa ni kitu KIZURI,.......
..... ila tukumbuke tu pia kuwa inasemekana waachwawo nyuma ni wale walioUSINGIZINI wakati  wenzao wako MACHO!:-(

Swali kiduchu kipande zile:
  • Je uko MACHO?
  • Na si unakumbuka NDOTO ya aliyemacho huweza fanana na NDOTO ya aliyelala kama zote kimfanyo vitendo viko KIUSINGIZI?

Na kama una NDOTO utakayo kuitimiza,...
.... labda angalia isije tu ikawa unandoto kwakuwa tu ni kweli UMELALA,...
... wakati  wadinyao hilohilo la kwenye NDOTO yako hata kwa kupata wazo kutokana na wewe wako MACHO na wanafanyia kazi NDOTO ZAKO!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!


Hebu ghafla tubadili kwa msaada wa SIMBA waNYIKA katika mtonesho-Shilingi yaua tena ni maua





Mr Nice agawe lawalawa katika-FAGILIA





Halafu tu mutoto ya DANDU ile James Dandu iingilie kati nakurudia tu ndude iliyotuna ile - Sina Makosa


4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:03 am  

NDOTO:-)

Simon Kitururu 1:47 pm  

@Yasinta: Mmmmmh!

Goodman Manyanya Phiri 2:48 am  

Si wote waliolala wanapata ndoto. Kwa hiyo wanaopoteza bahati na fursa zao kwa uvivu na usingizi mwingi, basi sababu ni hiyo-hiyo tu: USINGIZI! Wala sio ndoto!

Simon Kitururu 3:37 pm  

@Mkuu Goodman: Duh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP