Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuna ambao ni mpaka ukiwaita PEMBENI ndio utastukia wanamatusi!

>> Thursday, September 08, 2011

Na kwa kuwa si kila mtu HUITWA PEMBENI ambako anajisikia huru zaidi ,...
.......kuna  ambao wanaamini yake ya HADHARANI kuwa MHESHIMIWA hatukani!

Swali:
  • Hivi  akutukanaye PEMBENI ambako humsikii huyo hana MATUSI?
  • SI unajua kuna wale ambao ukiwaita PEMBENI hasa kuhusu  MTU MWINGINE  kirahisi wanaweza kutukania MHESHIMIWA?

Ndio,...
....... kumbuka tu pia kuwa yasemekana wale ambao UKIWAITA PEMBENI hutukania wengine kirahisi,....
..... wakiitwa pembeni kuhusu WEWE kirahisi  watakutukana tu hata WEWE kwa kuwa  kifanyacho hawatukani mtu HADHARANI  yawezekana ni UNAFIKI na yasemekana nafiki hana rafiki kwa hiyo  ikibidi  hata wewe huponi katika yake ya KINAFIKI!.:-(


NI wazo tu hili MHESHIMIWA!


Hebu Sam Mbogo arudishe tamaduni katika Together Festival tarehe 20 July 2008 pale Gloucester Park.




Au tu Tatunane waingilie kati kwa -MSEWE

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 2:42 am  

Naam, matusi ya pembeni siyo matusi; na unafiki ndivyo dunia inavyokwenda. Kwani wewe Mkuu unafikiri ni kwasababu gani kunamsemo: "DO LOVE EVERBODY BUT TRUST NO ONE"?

Simon Kitururu 3:36 pm  

Ndio Hapoo!@Mkuu Goodman

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP