NI KWELI unaweza kutumia BIBLIA kujitetea mbele za ASIYEAMINI BIBLIA,...
>> Thursday, September 08, 2011
...... lakini labda KUMBUKA TU kuwa kwa asiyeamini BIBLIA,...
...... kama tu ilivyo kwa YULE asiyeamini KORANI au tu kile kitabu cha KAMASUTRA,...
.............vitabu hivyo VITAKATIFU havikotofauti sana na kitabu cha JUMA NA ROZA.:-(
Swali:
- Si unajua ukimnukuu DOKTA KIKWETE ili kujitetea mbele ya amdharauye DOKTA KIKWETE ambaye ni amuheshimuye Rais NYERERE -utetezi wako katika pointi zilezile za DOKTA KIKWETE zifananazo na za Mwalimu NYERERE bado labda kiutetezi wako KATIKA KUJITETEA bado hautakuwa na UMWALIMU NYERERE kiheshima kisa umemnukuu Rais DOKTA Kikwete?
- Unabisha?
Ndio,...
.....lakini LABDA pia kumbuka tu kuwa,...
..... kwa MALARIA hata ujitetee vipi kwa ASPIRINI,...
...... shughuli hiyo nzima kwa wataalamu wa MALARIA inaweza kuonekana ni kujisumbua tu bure kwa kuwa hao washaamini kuwa ASPIRINI sio dawa ya MALARIA -na na labda wako sahihi,..
.... ingawa bado ni kweli MWENYE MALARIA adharauye KLOROKWINI au MUAROBAINI ,...
.... lakini kama hiyo ndiyo tiba ya MALARIA anaweza kujikuta kapona na dawa aidharauyo!
Swali:
- SI inasemekana kuna MPAKA wadharauo punyeto waponao nyege kwa punyeto kama MTU wa kufanyanaye dhambi ya KUZINI katika swala la kutibu nyege hapatikani?
Tukirudi palepale tulikoanzia,...
....... bado ni KWELI ,...
.... kwa kunukuu UKIAMINICHO katika kujitetea,...
...... hata kama kina UKWELI ,...
.... labda kumbuka kustukia ni nani unajitetea KWAKE kwa kuwa,...
.... labda angalau unaweza kupatia jinsi ya KUJITETEA kama nia ni KUJITETEA,...
..... kwa kuwa bado ni kweli KUNA UPOTEZAJI MUDA kwa kitu ambacho labda badala ya kumnukuu RAIS NYERERE umheshimuye ungetumia tu kauli hata rahisi za Rais MWINYI uzidharauzo kwa kuwa ujiteteaye kwake ni RAIS MWINYI ndiye bingwa KWAKE wakutatua kidude KIHESHIMA.:-(Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu EDDIE MURPHY arudi tena na kubadili KABISAA kipengele kwa SNL sketch ile-KILL the WHITE PEOPLE
Au tu adai-So I Messed Up
Hebu D'Angelo abadili tena ghafla mchezo kwa - Send It On
D'Angelo apenyeze zaidi pia kwenye kitengo kwa ile ndude- Me And Those Dreamin' Eyes Of Mine
Kabla hajazima tu tena MANYANGA tena kwa -Brown Sugar
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Ukitaka kuwakasirisha asilimia 95 kwa wale wenye kupenda kunukuu, waache tu wanukuu na hapo baadaye uliza kwa Kiingerea na Kiswahili hivi: "...SO WHAT?" "ILI IWEJE?"
(Siku hiyo utapigwa kofi weeee!!!)
@Mkuu Goodman: Ilishanitokea miye na nikweli nilikasirika ingawa nilifanya siri! Nilikuwa naongelea nifikirialo ni jambo la maana halafu wakati nasubiri feedback baada ya kumaliza kutoa hoja-jamaa moja likasema tu ``So what!?´´ halafu kiajabu wadau wote wakabadili stori na kuanza kujadili mambo mengine . Basi kwa muda madakika kadhaa nilikuwa nimechukia sana kwa kitendo cha jamaa aliyenizima kwa maneno mawili tu!
:-)
Post a Comment